nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Hii ndio sababu ya kupigwa 5 bila? Kwahiyo kule Lubumbashi kwa TP Mazembe tutegemee 7 bila?Kuna siku nilimsikiaga akilalamikia viwanja bongo ni vibovu ,nikajiuliza hivi afrika yetu hii ukitoa south africa na nchi za kiarabu hali ya viwanja vya mpira si inafanana?
Jamaa ni muongo na ana masifa ya ki congo kwelikweli,embu anagalia kiwanja hiki cha ligi kuu ya congo tena uwanjani wapo as vita
View attachment 1067323
Hii ndio sababu ya kupigwa 5 bila? Kwahiyo kule Lubumbashi kwa TP Mazembe tutegemee 7 bila?
Ata mimi nili msikia jamaa ni muongo sana. Kuna siku alisema Makusu hawezi kuja kucheza Bongo kwa kua viwanja ni vibovu! Tz viwanja si vizuri ila kwa Africa tuna nafuu. Ukicheck ligi za Ghana, ivory cost, na nchii nyingi zenye majina kwenye soka bongo tuna nafuu sana.Kuna siku nilimsikiaga akilalamikia viwanja bongo ni vibovu ,nikajiuliza hivi afrika yetu hii ukitoa south africa na nchi za kiarabu hali ya viwanja vya mpira si inafanana?
Jamaa ni muongo na ana masifa ya ki congo kwelikweli,embu anagalia kiwanja hiki cha ligi kuu ya congo tena uwanjani wapo as vita
View attachment 1067323
Rostam Aziz yule tajiri jasusi anasubiri uchaguzi then aje kuwekeza mabilioni Jangwani..hayo mambo ya TASAF tanieni mwisho mwisho..."Yanga ni lidude likubwa"Dk Harrison MwakyembeKule Simba watapigwa 6 -0 ila wakija kupewa mgao wao kutoka CAF wakitua hapo dar itawatafuta viongozi wa 'timu ya wananchi' iwape hata mil 100 ili wapunguze utegemezi kwa Tasaf.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaaah mshamgeuka manji mara hii...nani mwenye akili timamu apoteze hela zake kwa litimu la hovyohovyo lileRostam Aziz yule tajiri jasusi anasubiri uchaguzi then aje kuwekeza mabilioni Jangwani..hayo mambo ya TASAF tanieni mwisho mwisho..."Yanga ni lidude likubwa"Dk Harrison Mwakyembe
Wewe mdogo(kwa lafudhi ya kikongo) walikuwepo Wakina Boby soap nafikiri mzee Viran kama sikosei..akaja Gulamali..kaja Manji..anakuja Rostam..Yanga ndio timu kubwa TZ ..Nenda bank ya posta kadi za bank milioni nane zilichukuliwa na watu zenye nembo ya Yanga..sasa nyie mikia kujaza uwanja wa Taifa watu elfu sitini mnajiona mko wengi ni hamasa tu..unakumba makundi CAF yule msemaji alisema "Big club in Tanzania"nyie juzi mkaitwa "underwear"...Siasa za Bashite zimeivuruga Yanga ila tunakaa sawa kama inauma chomoeniHahaaah mshamgeuka manji mara hii...nani mwenye akili timamu apoteze hela zake kwa litimu la hovyohovyo lile
Hahaaaah bakuli fc...makwasukwasu fc...vyura fc....ombaomba fc...kwanini hujasema baada ya manji anakuja dangote or bilgert sahv...hahaaaah kilichouma mkashindwa kuchomoa ni kile kimoja cha juzi...Wewe mdogo(kwa lafudhi ya kikongo) walikuwepo Wakina Boby soap nafikiri mzee Viran kama sikosei..akaja Gulamali..kaja Manji..anakuja Rostam..Yanga ndio timu kubwa TZ ..Nenda bank ya posta kadi za bank milioni nane zilichukuliwa na watu zenye nembo ya Yanga..sasa nyie mikia kujaza uwanja wa Taifa watu elfu sitini mnajiona mko wengi ni hamasa tu..unakumba makundi CAF yule msemaji alisema "Big club in Tanzania"nyie juzi mkaitwa "underwear"...Siasa za Bashite zimeivuruga Yanga ila tunakaa sawa kama inauma chomoeni
Rostam Aziz yule tajiri jasusi anasubiri uchaguzi then aje kuwekeza mabilioni Jangwani..hayo mambo ya TASAF tanieni mwisho mwisho..."Yanga ni lidude likubwa"Dk Harrison Mwakyembe
Huwezi kuona tofauti..sisi tukiwa wazuri tunakupiga home and away..next season inarudi..jiandae kisaikolojiaHahaaaah bakuli fc...makwasukwasu fc...vyura fc....ombaomba fc...kwanini hujasema baada ya manji anakuja dangote or bilgert sahv...hahaaaah kilichouma mkashindwa kuchomoa ni kile kimoja cha juzi...
Hahaaah kwa hiyo huyo kichaa wenu ndo anavyowadanganya...ok ngoja nikuongezee sasa ufurahi...nasikia bilgert na dangote nao wanakuja kuwekeza yanga..furahi sasaHuwezi kuona tofauti..sisi tukiwa wazuri tunakupiga home and away..next season inarudi..jiandae kisaikolojiaView attachment 1067880