Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Mwalimu angefanya quality control naye jaman.Hapo sio mwalimu, ni mzazi aliemwandikisha mtoto.
Koma kuwabebesha walimu majukumu yasiyo yao.Mwalimu angefanya quality control naye jaman.
Ukute mtoto analetwa whuleni kuandikishwa na bibi ake maybe
Whuleni? Ndio wapi huko?Mwalimu angefanya quality control naye jaman.
Ukute mtoto analetwa whuleni kuandikishwa na bibi ake maybe
Wewe upo Hevenilaiti Mwakajiwe?Walimu hawahusiki hapo
Inasikitisha sana