toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,612
- 4,721
Hapa point ni soko lipi lina vitu chee vya bei nafuu vya kuandaa madikodiko na vyakula vyengine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabibo
BasiIssue pale Mabibo full usumbufu kwa issue ya parking Nakosa hata Hamu ya kuingia sokoni ndani.
Basi
Here yamekuwa hayo? Byee!Una ghubu wewe!!
Manzese sehemu gani?Kwanza kabisa ni soko la Manzese ambalo hujalitaja,Pili Ilala,kisha Mabibo na mwisho kabisa ni Buguruni ila kinara wa yote hayo ni Manzese
Here yamekuwa hayo? Byee!
Kwanza kabisa ni soko la Manzese ambalo hujalitaja,Pili Ilala,kisha Mabibo na mwisho kabisa ni Buguruni ila kinara wa yote hayo ni Manzese
Mzeee kwani tuna ugomvi?Nitakufuata hata inbox subiri
Pale zinapogeukia daladala za ManzaseManzese sehemu gani?
Manzese kilr kisoko kidogo karibu na Tigo shop pale cypruss lodge?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mzee mbona unaitaja Lodge yetu kimasihara
Mzeee kwani tuna ugomvi?