Ilala Boma vs Buguruni vs Mabibo lipi soko zuri lenye vitu bei nafuu?

Kwanza kabisa ni soko la Manzese ambalo hujalitaja,Pili Ilala,kisha Mabibo na mwisho kabisa ni Buguruni ila kinara wa yote hayo ni Manzese
 
inategemea kila sehemu lina vitu vyake ambapo nafuu
kwa mfano ilala boma ka viungo vya kuungia mbogamboga pamoja nazi nk ni nafuu
wkt buguruni matunda aina yote nafuu zaidi
mabibo kule ndizi ndo kwenyewe kwa mbari baadhi ya matunda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa ni soko la Manzese ambalo hujalitaja,Pili Ilala,kisha Mabibo na mwisho kabisa ni Buguruni ila kinara wa yote hayo ni Manzese

Manzese kilr kisoko kidogo karibu na Tigo shop pale cypruss lodge?
 
Kwa hayo uliyoyataja la kwanza ni Ilala ila siyo upande wa matunda, ukihitaji matunda buguruni ni bora zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…