Pale zinapogeukia daladala za Manzase
Hilo la manzese nitalitafuta aiseeKwanza kabisa ni soko la Manzese ambalo hujalitaja,Pili Ilala,kisha Mabibo na mwisho kabisa ni Buguruni ila kinara wa yote hayo ni Manzese
Asanteinategemea kila sehemu lina vitu vyake ambapo nafuu
kwa mfano ilala boma ka viungo vya kuungia mbogamboga pamoja nazi nk ni nafuu
wkt buguruni matunda aina yote nafuu zaidi
mabibo kule ndizi ndo kwenyewe kwa mbari baadhi ya matunda
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sanaFika Temeke Stereo Hutajilaumu Kamwe
Utarudi Na Vitu Vizuri Vingi Sana Kwa Bei Chee!!!!
Mabibo, Buguruni Nimewahi Kununua Vitu Changamoto Ni Bei.
Mnooo Manzese noma sanaKwanza kabisa ni soko la Manzese ambalo hujalitaja,Pili Ilala,kisha Mabibo na mwisho kabisa ni Buguruni ila kinara wa yote hayo ni Manzese