mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
Tumekuwa tukizani mpira ni mchezo wa siasa ni kosa kimantiki.
Kuna watu sio wajinga wala sio werevu lakini tunapaswa kuto kuwapuuza ujinga wao. Makonda si kwamba ni mjinga au werevu lakini kila anapokosea lazima tumwambie.
Timu ya taifa ni timu ya watanzania sio ya CCM wala chadema, CUF n.k ,Makonda na wenzake wanapaswa kuelewa hilo.
Makonda aelewi mpira na kanuni zake. Na kuzani wanavyofanya kwenye chaguzi ndio kanuni hizo hizo kwenye mpira.
Hakuna ambaye hajui kuwa chama cha Mapinduzi ni wezi kwenye chaguzi za hapa nchini ,sasa mpira hauna hilo.
Mpira ni talent sio ujanjanja tu kama KURA za kwenye chaguzi.