johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Sawa
Huu ni msimu
Ikifika msimu wa kufanya robo safari kwa wiki pia utupe mrejesho
Mchezo huu hatutaki hasira
Tutakutana hapa hapa!Sawa
Huu ni msimu
Ikifika msimu wa kufanya robo safari kwa wiki pia utupe mrejesho
Mchezo huu hatutaki hasira
Mungu wa mbinguni aendelee kumbariki na kumlinda Rais wetu mpendwa Dr Magufuli.
Kwa sasa treni iliyofufuliwa kwa juhudi zake ya Dsm - Moshi inafanya safari sita kwa wiki ikiwa imejaza abiria safari zote.
Source IUhuru
Maendeleo hayana vyama!
Mbona Barbarosa Roho inamuuma, anavyoona reli inakwendaje kwa kasi Sana moshi huku kukiwa na Abiria wengiTutakutana hapa hapa!
Fanya research tena, hiyo route haina faida, reli ya kati ndio inafaida, Moshi Arusha hamna abiria labda kipindi hichi cha msimu wa sikukuu na mwisho wa Mwaka,Walikuwa hawajui kwamba ukitaka treni kwa Tanzania ya abiria ipate faida huwezi kulwepa kaskazini na hii ya umeme wamekosea hapo tu haitalipa kama wangeweza kufanya connection ya Dodoma-Singida-Arusha na Kilimanjaro ingekuwa inajaa kila siku
Hatudanganyikiiii !Walikuwa hawajui kwamba ukitaka treni kwa Tanzania ya abiria ipate faida huwezi kulwepa kaskazini na hii ya umeme wamekosea hapo tu haitalipa kama wangeweza kufanya connection ya Dodoma-Singida-Arusha na Kilimanjaro ingekuwa inajaa kila siku
Msimu wa robo safari ukifika mabehewa yanahamishiwa ruti ya Kigoma, mchezo kwishaSawa
Huu ni msimu
Ikifika msimu wa kufanya robo safari kwa wiki pia utupe mrejesho
Mchezo huu hatutaki hasira
Fanya research tena, hiyo route haina faida, reli ya kati ndio inafaida, Moshi Arusha hamna abiria labda kipindi hichi cha msimu wa sikukuu na mwisho wa Mwaka,
Umeusoma uzi wa Paskali Mayalla kuhusu hiyo treni?Mungu wa mbinguni aendelee kumbariki na kumlinda Rais wetu mpendwa Dr Magufuli.
Kwa sasa treni iliyofufuliwa kwa juhudi zake ya Dar es Salaam kwenda Moshi inafanya safari sita kwa wiki ikiwa imejaza abiria safari zote.
Source IUhuru
Maendeleo hayana vyama!
Nimeusoma bwashee!Umeusoma uzi wa Paskali Mayalla kuhusu hiyo treni?
Kama ulisoma hukuelewa usingeleta hiki kipambio chako kisicho na korasiNimeusoma bwashee!
Sawa
Huu ni msimu
Ikifika msimu wa kufanya robo safari kwa wiki pia utupe mrejesho
Mchezo huu hatutaki hasira
Mweleze mhariri wa gazeti la Uhuru!Kama ulisoma hukuelewa usingeleta hiki kipambio chako kisicho na korasi
Mungu wa mbinguni aendelee kumbariki na kumlinda Rais wetu mpendwa Dr Magufuli.
Kwa sasa treni iliyofufuliwa kwa juhudi zake ya Dar es Salaam kwenda Moshi inafanya safari sita kwa wiki ikiwa imejaza abiria safari zote.
Source IUhuru
Maendeleo hayana vyama!
[/QUOTE
ATCL ina fanya safari ngapi kwa wiki kuelekea London