hahahaha hizo kodi zenyewe mbona zamani mlikuwa mnazikwepa hamlipi..mnachekesha...na nyinyine mnaweka mifukoni mwenu...mpaka kaja mtu wa kuwatisha ndio mnatoa tena kwa malalamikooo...utafikiri maendeleo ni ya ccm pekee...maendeleo hayana vyama...Eti ilani ya ccm! Haujui ni kodi zetu hizo!ni wajibuwenu kuleta maendeleo sio juhudi za mtu binafsi!
Msitukwaze na sikukuu hii!
Mwezi huu treni zote zinajaa hata tazara first na second class zimejaa mpaka January so siyo ajabuMungu wa mbinguni aendelee kumbariki na kumlinda Rais wetu mpendwa Dr Magufuli.
Kwa sasa treni iliyofufuliwa kwa juhudi zake ya Dar es Salaam kwenda Moshi inafanya safari sita kwa wiki ikiwa imejaza abiria safari zote.
Source IUhuru
Maendeleo hayana vyama!
Mungu wa mbinguni aendelee kumbariki na kumlinda Rais wetu mpendwa Dr Magufuli.
Kwa sasa treni iliyofufuliwa kwa juhudi zake ya Dar es Salaam kwenda Moshi inafanya safari sita kwa wiki ikiwa imejaza abiria safari zote.
Source IUhuru
Maendeleo hayana vyama!