Uchaguzi 2020 Ilani ya CHADEMA haijitoshelezi!

Status
Not open for further replies.
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Mleta post ,
Kama ilani ya Chadema haifai wewe unawashwa na nini?
MATAGA wenzio wamechanganyikiwa,
Wanasema hawafanyi kazi za kwenye mitandao,
Leo wameomba kura kwenye Twitter baada ya kukwama kwenye vyombo vyote vya Habari na mabango nchi nzima.
 
Reactions: BAK
Mbona nyie pia mnaendaga?
 

Attachments

  • 2020-10-03 11.21.32.png
    1,017.4 KB · Views: 2
Ni wakati muafaka sasa kwa Serikali kuanzisha Mahakama ya Wajinga, kama tutahangaika na wahalifu wa aina nyingine tukawaacha wajinga waendelee kupita mtaani basi taifa hili halitapiga hatua yoyote.
 
Genge la wahuni wa saccos Ufipa, Wanataka kwenda ikulu ni dharau kwa watanzania wote wazalendo. Kama ruzuku, michango ya wabunge, pesa ya mifuko ya majimbo mnakula mkikabidhiwa kodi zetu si mtakula mpaka na miguu ninyi. Bado siku 11,mpate mkong'oto wa karne.
 
Sasa hii ilani unayosema ni takataka inasababisha mgombea wenu wa CCM amefikia hatua ya kupiga magoti kuomba kura.
 
Unaziona hoja za maccm?? Wanapwaya sana, haya kuna wababe wameingilia mozambique wanakiwinda kichwa cha kaka yenu.
Ahya..
Ilani ya chadema ni fupi kama kimini cha joyce wowowo ata tiketi ya dar lux ina page nyingi kuishinda.
 
The Dictator is feeling too much heat to an extent that even though he hides in the freezer, still he will be feeling much more heat. He won't stop the waves of change. Chdem forever
 
Kun ilani takataka kama ya CCM, ililiyosema kuwa itagawa million 50kila kijiji na hawakufanya hivyo! Takataka kabisaaa.
 
Hilo likitabu lao la ilani ndo unalifungulia uzi?
 
Ilani ya CCM imeelezea vizuri sana habari za ubaguzi wa Rangi. Ndiyo maana mwenyekiti anahubiri ubaguzi huo kwa umahiri mkubwa sana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…