moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
Wale wote mliochukua wafanyakazi wa ndani toka kondoa mnaombwa kuwarudisha wakafanye mtihani wa marudio wa la darasa la saba vinginevyo utakuwa umetorosha mwanafunzi .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WamesikiaWale wote mliochukua wafanyakazi wa ndani toka kondoa mnaombwa kuwarudisha wakafanye mtihani wa marudio wa la darasa la saba vinginevyo utakuwa umetorosha mwanafunzi .
huyu wa kwangu nmemtia mimba tyr vp ataruhusiwa kufanya mtihani ?
Vipi mamaaa!!!mmh!
CMmmh!
Nimekumbuka kuwa ni kweli kuna shule zimefutiwa matokeo na wanatakiwa kurudia. Nikajihisi uchunguVipi mamaaa!!!
ndo hivyo mamlaka zimeshasema hakuna wa kupinga, order!Nimekumbuka kuwa ni kweli kuna shule zimefutiwa matokeo na wanatakiwa kurudia. Nikajihisi uchungu
Ila ni bora walivyopewa nafasi ya kurudia kuliko wangefutiwa jumla jumlando hivyo mamlaka zimeshasema hakuna wa kupinga, order!
kheri sana, ila kuna watu watapigwa chini job kwenye scandal ya kuvujisha mitihani.Ila ni bora walivyopewa nafasi ya kurudia kuliko wangefutiwa jumla jumla
Kwa hili sitawahurumia kwa kweli.kheri sana, ila kuna watu watapigwa chini job kwenye scandal ya kuvujisha mitihani.