Ilborians.....na watz wengine......

Ilborians.....na watz wengine......

Mwandwanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,059
Reaction score
1,572
Tarehe mbili mwezi huu nilibahatika kuitembelea shule yangu Ilboru,nilihudhuria pia mahafali ya 20 ya hii shule. Wadau shule yetu bado inafanya vizuri.....vijana bado wanalitunza jina la shule hii iliyotukuka kwa jamii ya Watanzania walio wengi. Mgeni rasmi alikuwa ni Frederic Sumaye ( Waziri mkuu mstaafu wa serikali ya Tz awamu ya tatu ). kwa machache niliyo yaona na kuyasikia nachukua fursa hii kuwatakia afya njema wakati huu wakisubiri mitihan yao ya mwisho katika ELIMU NGAZI YA SEKONDARI.KILA LAKHERI MADOGO...
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1359955489513.jpg
    uploadfromtaptalk1359955489513.jpg
    93.1 KB · Views: 87
  • uploadfromtaptalk1359955576570.jpg
    uploadfromtaptalk1359955576570.jpg
    83.2 KB · Views: 80
Hili ni bweni gani? Rungwe au Oldonyo!? Aisee panazidi kupendeza. Naona lile jengo la ofc bao ni ngangari!
 
Akina kigwangala na Mwigulu kumbe mko wengi, mnataka kuonyesha wa maana kwa shule mmesoma.
 
bado naipenda sana shule yangu
 
Hili ni bweni gani? Rungwe au Oldonyo!? Aisee panazidi kupendeza. Naona lile jengo la ofc bao ni ngangari!

Hilo bweni la KIBO kaka limekarabatiwa tangu 2008 hapo bado hujaingia ndani marumaru kila sehemu kama upo Ngurdoto!
 
Ukisoma Ilboru huwezi kupasahau lazima upapende, it becomes a part of you and the best memory!
 
Akina kigwangala na Mwigulu kumbe mko wengi, mnataka kuonyesha wa maana kwa shule mmesoma.
Acha wivu bana! Nani kakwambia tunataka kuonyesha shule tulizosoma!? Haijalishi ni shule gani umesoma, kinachohesabika ni elimu uliyoipata inakusaidia vipi!
We unafikiri mtu ameonyesha picha ya sehemu ya muhimu kwangu halafu nisi-comment eti kisa naogopa kuonekana najionyesha!?
Naamini umepitiwa mkuu, maana ungefikiria vizuri ungejiuliza ni faida gani tunapata kama kweli nia ni kuonyesha shule tulizosoma na wakati wengine wetu majina yetu halisi hayajulikani!?
Pamoja sana!
 
La wivu sina maana sijaona tofauti ya Ilboru, Mzumbe, Tabora Boys, Malangali, Tosamaganga au kwingineko ambako mimi nimesoma. Labda niseme tu nafurahi umekuwa na busara mkuu si kama Kigwangala au Mwigulu, hofu yangu baadhi ya Watz wenzangu ufahari wao ni wapi wamesoma, wanaishi, wamezaliwa, wazazi n.k. kitu ambacho hakifai kutumia kama kigezo cha msingi, nakwambia ingelikuwa hivo ndio vigezo pekee akina Obama wasingeshika madaraka.
 
Hujaona tofauti ya Ilboru na Tosamaganga au Malangali!? Seriously?
 
Ni Oldonyo mkuu

Duh mkuu me nilijua ni Kibo tu ndio lilikarabatiwa asee kumbe mpaka Oldonyo saafi sana cku hzi pako hivyo, dah how I wish my son awe Ilborian jus like his father!
Nikiwa Arusha kikazi mara nyingi navisit Ilboru coz naenjoy tu kupaona!
 
umenikumbusha masindano ya usafi kwenye mabweni kati ya kibo na mawenzi aisee usipime vipi yule babu mlinzi bado yupo ilo ofisi chini ni staff ya history, geography ,kiswahili na juu yaani gorofani dining haall walimu wanakoo nywea chai I REAL MISS ILBOYS KILA KHERI MADOGO KATIKA FINAL EXAMS
 
Hujaona tofauti ya Ilboru na Tosamaganga au Malangali!? Seriously?

Ndio labda eleza tofauti ipi ya maadhari? kama maadhari Karatu na Rungwe ndio ziko juu mkuu. Elimu sylabus ni moja nchi nzima na mtihani mmoja eti.
 
Back
Top Bottom