Yale makuwadi ya warabu yatapinga.Huko nyuma walianza kuonekana kama waganga njaa ambao wanatumia siasa kujinufaisha.
Ndio maana wakiitwa Ikulu wanakimbia kula pilau na juice.
Leo hii wamekomaa na Sakata la Bandari. Wamechambua na kueleza namna huu mkataba haufai. Wananchi wanawaamini kama Wapinga ufisadi
Wamerejesha imani kwa wananchi, japokuwa sio kama enzi zile
Ww ndi umeiyeyusha au unatak umaarufuHuko nyuma walianza kuonekana kama waganga njaa ambao wanatumia siasa kujinufaisha.
Ndio maana wakiitwa Ikulu wanakimbia kula pilau na juice.
Leo hii wamekomaa na Sakata la Bandari. Wamechambua na kueleza namna huu mkataba haufai. Wananchi wanawaamini kama Wapinga ufisadi
Wamerejesha imani kwa wananchi, japokuwa sio kama enzi zile
Labda huko kijijini kwenu Nanjilinji, huku duniani chadema inafahamika kama baba wa njaa na inapuuzwa kuliko kawaida.Huko nyuma walianza kuonekana kama waganga njaa ambao wanatumia siasa kujinufaisha.
Ndio maana wakiitwa Ikulu wanakimbia kula pilau na juice.
Leo hii wamekomaa na Sakata la Bandari. Wamechambua na kueleza namna huu mkataba haufai. Wananchi wanawaamini kama Wapinga ufisadi
Wamerejesha imani kwa wananchi, japokuwa sio kama enzi zile
Uzuri JF haipimi akili za members wake.Labda huko kijijini kwenu Nanjilinji, huku duniani chadema inafahamika kama baba wa njaa na inapuuzwa kuliko kawaida.
Ndiyo wimbo wenu huu kila mkizidiwa mnadai Mbowe ni kada wenu.Mbowe ni Kada wa mboga mboga mwaminifu, aendelee kudanganya watu ipo siku itajulikana tu
Kinyonge saaaaana,makuwadi wa DPW dawa yenu iko jikoniMasuala ya utafutaji rizki yana njia nyingi zaidi ya 1000,
-wengine wanavutwa kwa manabii
-wengine kwa kugeuzwa mitaji ya wanasiasa
*Lengo ni moja tu KIPATO,KIPATIKANE NA FURAHA MAISHANI,
(World philosophy "
Kabisa, ndo maana wasio na akili wanakuwa huru kupost chochote kile.......uongo, picha za maktaba n.kUzuri JF haipimi akili za members wake.View attachment 2734176View attachment 2734177View attachment 2734178
makuwad ya warabu mbowe na lissu kawanyoosha huku kanda ya ziwa mpaka mko hoi.Mbowe ni Kada wa mboga mboga mwaminifu, aendelee kudanganya watu ipo siku itajulikana tu
makuwadi ya warabu dpworld, chadema imewanyoosha kila kona hadi mmekuwa vichaa.Labda huko kijijini kwenu Nanjilinji, huku duniani chadema inafahamika kama baba wa njaa na inapuuzwa kuliko kawaida.
Aliyewanyoosha hao ni mwabukusi na Tec jomba, shida ya Mbowe atakuja kugeuka Tu subiri utaonamakuwad ya warabu mbowe na lissu kawanyoosha huku kanda ya ziwa mpaka mko hoi.
Hizi nyomi hivi ccm hawaoni wakina chongolo sioni wakiendelea na mikutano yaoUzuri JF haipimi akili za members wake.View attachment 2734176View attachment 2734177
Mimi kuiamini chadema ni mpk iwe na mwenyekiti mwingine tofaut na mboyeHizi nyomi hivi ccm hawaoni wakina chongolo sioni wakiendelea na mikutano yao
Sakata la DP World limewaunganisha Watanganyika licha ya tofauti zao za kiitikadi.Na wewe ulikuwa miongoni mwa kuwapinga CHADEMA enzi za jiwe.Nmeshangaa unawasapoti CHADEMA siku hizi. Umehama lini CCM?
Jamaa wanakuja juu snHuko nyuma walianza kuonekana kama waganga njaa ambao wanatumia siasa kujinufaisha.
Ndio maana wakiitwa Ikulu wanakimbia kula pilau na juice.
Leo hii wamekomaa na Sakata la Bandari. Wamechambua na kueleza namna huu mkataba haufai. Wananchi wanawaamini kama Wapinga ufisadi
Wamerejesha imani kwa wananchi, japokuwa sio kama enzi zile
Hahahahaaa!makuwadi ya warabu dpworld, chadema imewanyoosha kila kona hadi mmekuwa vichaa.