Ile harufu Kali ya Kinyesi iliyoko usawa wa Hostels za Magufuli za UDSM na TCRA kwanini haitafutiwi Ufumbuzi?

Ile harufu Kali ya Kinyesi iliyoko usawa wa Hostels za Magufuli za UDSM na TCRA kwanini haitafutiwi Ufumbuzi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwa Wapanda DalaDala ( Bayankata ) Wenzangu najua hapa watakuwa Wananielewa sana tu.

Ni harufu ya Kinyesi ( na inaonyesha kuna Shimo Taka ) ama la Magufuli Hostels au za TCRA limejaa hivyo linatema na kuwa Kero katika Pua zetu.

Tafadhali Mamlaka ifanyie Kazi hili.
 
Maeneo ya chuo Nyuma ya Hizo Hostel pale huwa kuna Aerobic ponds za kusafisha kinyesi chote cha chuo kikuu Dare salaam. Wataalamu wa Maji machafu watakuwa wamefeli kutibu hiyo harufu.
 
How old are you??


Anyway ngoja nkujibu

Watu wa Dar wanapenda saana harufu za mitaro
 
Back
Top Bottom