Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Bora rais wa wambea soudy tangu mwanzo hakuamini ubuyu huu ulioonesha dalili za uchachu
Msanii keisha katoa post akiwashukuru wana tip top wenzie kwa ushirikiano walioutoa kukamilisha shooting video ya wimbo wake mpya
Ila ubuyu tumetunga wee na kusingizia wasiohusika