Wapi salaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora rais wa wambea soudy tangu mwanzo hakuamini ubuyu huu ulioonesha dalili za uchachu
Msanii keisha katoa post akiwashukuru wana tip top wenzie kwa ushirikiano walioutoa kukamilisha shooting video ya wimbo wake mpya
View attachment 621193
Ila ubuyu tumetunga wee na kusingizia wasiohusika
Ndiku imemchoma mpaka nae akapost,kwa hakika hapa utamjua mwanaume mkurupukaji na ni dhahiri kua Ndiku bado anampenda uwoya ila ndio vile tena ma Dada wa kibongo ni kama ungo na kibeku
Ndo raha ya ubuyu,yoteeee tunayajuaHahahaha wapi mukongo. Ila bora tumeyafahamu madanga ya uwoya na kishimo
Mmh hii fake sasaKupita skendo hii nimejua mengi
Ana file Mwananyamala anachukua dozi
Mabwana zake watatu washakufa kwa ngoma
mchezo WA kupakuliwa Ndio kawaida yake .