KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Nimeamka asubuhi tu nakutana na sms yao ati nitumie hela kwenye namba hii..! Haya majamaa sijui huwa yanafikiria hela ni kama pua tu kila mtu anayo!!.. wangejua hii weekend imekaa kikomamanga hata wasingetuma li sms lao..!
Mtu huna hata ya kununulia soda ya jero licha ya soda tusiende mbali hata ya juisi kola tu shida..
Serikali imejitahidi kiasi chake kuwadhibiti ila wajue bado yapo hayo mambung'o na bila shaka nafikiri Kuna watu wanatapeliwa serikali waongeze nguvu zaidi,ni kero hii.