Ile Hela Ya Yanga Iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa Kwa Niaba GSM Ndo Inaiumiza Biashara Mara?

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
4,369
Reaction score
5,248
Kukamia mechi na mwishowe unashangilia draw na Simba eti sababu ya kilikuwa ni kitendo kibaya Sana kwa Biashara yangu, mbona hizo hela SASA hampewi? Malipo yake yamekuja kuwa machungu Sana, kuanzia kombe la Shirikisho tukakosa hela ya usafiri na tukapigwa Ban na fine kubwa.

Bundi Huyu hawezi kuishia hapo, kuna kipindi Singida alipendwa Sana na Yanga hadi Akina Kaseke wakapelekwa upande wa pili, Singida Leo yuko wapi?

Malima(Mkuu wa Mkoa wa Mara uliyepita) tunakulilia Sana Wana Mara, Huyu aliyekuja hpa mwana Yanga Nia yake ni kuiua Biashara irudi daraja la kwanza, ulikuwa unaipa timu hamasa ya ukweli, hicho kitu SASA kimehamia Coastal union.

Lakini yote Kwa yote ukipenda vya Yanga lazima upate maumivu, Biashara hii kubaki kwenye ligi msimu huu, lazima wajipange haswa na waachane na ulaghai wa akina Yanga na GSM. Ona SASA uwanja ulikuwa unaogopwa na timu zote, Leo mmelalia kamoya! Povu ruksa.
 
Na nyinyi mlipewa shilling ngapi ili msi ifunge Yanga Dec 11, na ngao ya jamii mlipewa nini mlegeze?
 
Mkuu wa Mkoa wa Mara Bw ALLY HAPPI akiwa Iringa aliiiona LIPULI inashuka Daraja kwa fedhea kubwa akawakashifu pia.
Huyu Bw mdogo kaenda MARA ameenda kuizamisha Biashara United. Hilo halina ubishi Biashara inaenda kushuka daraja wasipoweka siasa za All Happi pembeni maaana huyo ni mjinga na hana msaada wowote kwenye maendeleo ya soka.
 
Yaani matahira ya simba mnatapatapa kila kona ni yanga hata mkeo akigegedwa ni yanga.
Wonder Kid nkane kashaenda nyie kazaneni ni kina sakho na mkimbizi kibu
 
Mkuu kumbe na wewe umeliona Hilo, huyo jamaa ana kinuksi...na ndiko Biashara unaelekea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…