Ile Kampeni ya Tunatusua mpaka Brazil imeleta mrejesho?

Ile Kampeni ya Tunatusua mpaka Brazil imeleta mrejesho?

Wale vijana ni wapuuzi bora ata wale waliokwenda Gabon mwaka jana walau waliambulia point nne tena kwenye nchi ya watu. Awa watoto wapo kwao kabisa wamekosa ata point moja tena timu yenyewe imeandaliwa miaka minne kabla ya mashindano.
 
Garama zimetumika kubwa sana. Lakini watoto hawana kosa. Kosa wanalo tff na Kocha wao watuambie wamemtoa wapi. Natarajia watoto kadhaa wataenda ulaya kwa majaribio na kucheza soka
 
Tuasubiri mrejesho tiefuefu wanasema vijana wako safi nanambeba kocha wao Aaminike sijui Haaminike amunike haminiki. Vijana wanampenda na kubeba juu juu. Tumeombwa kuwa wapole na wavumili kipindi hiki cha majonzi.
 
Tajiri pekee aliyewahi kuingia chumbani kwangu nikiwa nasoma chuo ni bwn. Mengi-Makonda
 
Uende Brazil na benchi la ufundi lile la Peter manyika na keneth mkapa? Ukisikia masihara ndio yale sasa
 
Hata msemo wenyewe wa kutusua hadi Brazil ulikuwa unajieleza kwamba hatukuwa tuna nia ya kwenda. Yaani kwenda kucheza fainali unatusua kirahisi tu!!
 
Back
Top Bottom