Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Watupe basi mrejesho. Yaani matangazo yote yale walishindwa kuujaza uwanja hata kama kiingilio kilikuwa bure!!??Mpira hauchezwi Instagram ndugu..ni mipango ya muda mrefu..
Ujanja ujanja tu...Watupe basi mrejesho. Yaani matangazo yote yale walishindwa kuujaza uwanja hata kama kiingilio kilikuwa bure!!??
Garama zimetumika kubwa sana. Lakini watoto hawana kosa. Kosa wanalo tff na Kocha wao watuambie wamemtoa wapi. Natarajia watoto kadhaa wataenda ulaya kwa majaribio na kucheza sokaWale vijana ni wapuuzi bora ata wale waliokwenda Gabon mwaka jana walau waliambulia point nne tena kwenye nchi ya watu. Awa watoto wapo kwao kabisa wamekosa ata point moja tena timu yenyewe imeandaliwa miaka minne kabla ya mashindano.
Naskia ataongoza msafara Misri!?=?=Makonda hajawahi kuligusa jambo likafanikiwa
Kama ni hivo ishakula kwetuNaskia ataongoza msafara Misri!?=?=
Tano tatu nne=12.Ile kamati ya kuratibu mpango wa Timu ya Serengeti kwenda kwenye mshindano ya Dunia Brasil imeleta mrejesho wa nini kimesababisha tushindwe kufikia lengo hilo?
Bashite achana na soko unalitia gundu.Naskia ataongoza msafara Misri!?=?=