Ile movement ya ku unfollow wasanii na media imeishia wapi?

Haijaisha unataka iishe mapema hivi? Leta wasanii wako kwenye matamasha yao ya kufungua mwaka tuone.

Hata mwamposya anatafakari ni namna Gani aje na kampeni ya kuvuna pesa kutoka kwa wajinga na ULE utapeli wake wa vuka na chako
 
Mbna sasa mov haina nguvu naona watu wana followers mamilioni
 
Sasa mbona unaji contradict huoni kampeni inaendelea navilio vinazidi kusikika?
Vilio ni kwa hawa wajinga waliofungwa akili, we umemuona nani mwenye akili anaulizia mtu wake wa kuzika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…