Gigo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2006
- 455
- 47
'Mama Kibandiko Unajua kupika kila kitu!'-" Pishi la Leo Maharagwe tena yame changanywa na Tui la Nazi!!'. ..."Basi Shibe yangu imekua Balaa".
"Huwa nahisi raha Sana, pia najisikia Amani kula Chakula kilicho pikwa na Mke Wangu"-
Nakumbuka nilimsifia Mkwe wangu kwa maneno hayo Mara Badaa ya Kula Chakula Cha Mchana, Shibe ili nifanya ni amue kujilaza kwenye Mkeka kwa Muda kidogo.
Hii ilikua ni Kawaida Yangu- Kujipumzisha hususani baada ya kazi za Shamba na Baada ya Chakula cha Mchana.
Nilipenda Kujipumzisha japo kwa saa moja na baada ya hapo niliendelea na kazi nyingine.
"Nini tena Unataka"- sema mimi nipo kwa ajiri yako?!..
Mama Kibandiko aliuliza,
kwa sauti ya Mahaba kuhu akikusanya vyombo-
"Hakuna cha ziada hata kama kipo nitakuomba baadae,Najua huwezi ninyima -Lakini kwa kusema ukweli Leo nime Shiba Sana!."
"Naomba Uniletelee Redio na Mto"- "Naamini hivyo ndivyo vya Ziada kwa sasa!"
"Bora nipumzike Hapa hapa Chini ya Muembe, Leo kuna joto sitaki kuingia ndani usije uka Nibaka bure!..."
"Hata hivyo bado sijaoga- pili nimechoka-"
Nilimjibu kwa Tabasamu huku nikimuangalia usoni-
Twende tuka Oge acha uvivu! alisema kwa kunong'ona tena kwa tabasamu pia -Na mimi nika mshika Sikio- "Sitaki nita oga aje wakati bado narudi tena Shambani!?"....
Haya! Sawa tu.....'
"Mbona Ugali hauja umaliza au nikuongezee Maharagwe?".
Mama Kibandiko aliniuliza, kwa sauti Nyororo huku akideka na kunitazama kwa Jicho Legevu.
Akaleta Utani wa Makusudi kama Tozo kwenye Mchango wa Msiba-
Siku zote anapenda Mzaha Sana kwa kila jambo- Muone kwanza Khanga ume vaa Moja tu! - Nikashika Khanga-Nikafunua pembeni kidogo - Nika muonyesha -hana hata Haya-hana hata Tahadhali-nika muuliza -Na hizo Shanga je za nani?
"Za kwako" -
"Unauliza Makofi Polisi"
alinijibu huku Akinizuia nisi endelee kumchungulia-
Nika mwambia kwa Utani -"hivi kwa mfano Mjusi Akatokea huko Shambani kakimbizwa na wenzake akatafuta pa kujificha si itakua Zahama hapa!" Mara Mjusi huyo Mguuni mara kwenye Goti-Paja -mara Eeh !!! Alicheka Sana-huku akisema Usinitishe Bwana
Akaendelea kusema-
"Hapana Mume Wangu Unajua najiandaa nataka nikaoge-Nimekuja ili Nifahamu je Umeshashiba?"
"Leo umekula Peke yako -nisije Enda Bafuni kumbe unahitaji nikuongezee Chakula"-
"Hapana Mke wangu"-nimeshiba Sana" ,nilimjibu huku niki Muongesha Tumbo Langu. Akalishika taratibu ili kuona Jinsi lilivyo Jaa-basi ikawa ni raha tu-
Nilijilaza Chali kwenye Mkeka, Kivulini chini ya Muembe ulio kua nime Upanda Pembezoni kidogo ,Karibu na Nyumba Yangu.
"Nafurahi kuona Kitambi kimeshiba" - alisema kwa tabasamu-akaondoka kwa Mbwembwe na Madaha ya kike kama Karani wa Sensa-
Huku Mikono ikiwa ime beba Sahani na Bakuli kwa umakini kama vile amekumbatia Kishikwambi -eeh Mashalaah!
Na hilo vazi la Kiswahili la kwendea Bafuni -liliendelea kuniacha hoi-mke wangu kwa vituko humuwezi kila siku raha na Furaha-
Ali ingia ndani akatoka na Radio Pamoja na Mto -akanipatia -
Aka rudi ndani akaenda kujiandaa ...
Muda Kidogo alitoka...............
Kama ilivyo kawaida ya Mwanawake wa Pwani-Alipenda jipamba na Manukato hadi Nabaki na Wasiwasi na Maswali ya Moyoni - "Labda Mie Mume Mkubwa pengine Mdogo yupo Hukohuko Sokoni?" -" jicho la Mahaba "- "Mguu huo" -
Nika muuliza kwa saiti ya Wivu au "twende wote
Sokoni?" . Akasema sawa!
Akanitazama Juu mpaka chini huku domo lake akililegeza kama Chupi ya Kichaa,
aka geuka ,aka Anza kutembea kama Mlimbwende wa Mitindo na Mavazi-
Nika mwambaia " kwa Miondoko hiyo Bora uende mwenyewe "-"Na.Mimi niweke Jembe Begani hivi nilivyo alafu Wewe utembee hivyo ulivyo"- hii sasa ndio kisa cha kunifanya Mimi "Chakubanga" -
Mama Kibandiko alicheka kwa saiti -he he he huuuuu-mwanume wewe utakufa kwa kwa Gubu-
"Wacha niende mie"-"Nime kuita tuka Oge "....-"Ume kataa na ku-Bung'aa Usingizi umekujaa"-
Alinijibu kwa Furaha-na Mzahaha .
Nika mwambia "Chukua Fedha zipo kwenye Suruali , angalia ndani Karibu na Mlango wa Chumbani"-
Aliingia Ndani alipo toka akasema:-
"Sawa ngoja niende Sokoni Mapema - Leo Jioni napika Chapati za Nazi"
-Mama Kibandiko aliniaga -huku aki Sisitiza Hato chelewa kurudi-
Nami Nika Mtania Leo umependaza kama vile Mbunge wa Viti Maalumu-alinijibu "Asante" huku akicheka kwa furaha.
"Kua Makini Mke Wangu"Nili muaga huku nikitafuta Kipindi Pendwa cha Radio -ambacho napenda kusikiliza kila Jumamosi Mchana.
Hata hivyo siku zote Napenda Sana kufuatilia Vipindi vywenye Maudhui ya Sayansi ya Siasa , Uchumi ,Elimu na Burudani.
"Karibu kwenye Kipindi cha Elimu na Burudani na Leo Tutazunguzia Kuhusu Chanjo"-"Lakini kabla hatuja Anza Mahojiano na Mtaalamu wa Chanjo tuanze na Burudani ya Musiki"
Ghafla Nilijiona Naelea kwenye Mawingu huku mziki mzuri ukini Burudisha -
Mlango Mkubwa ukafunguka-
akaja Mtaalamu wa Chanjo ame vaa Koti Jeupe -
Alionekana ni Mwenye Hasira huku Ameshika Sindano Ndefu kuliko hata Urefu wa Jembe ninalo tumia -
Akaniuliza kwa Sauti kubwa "Nikuchome wapi ?"
"Bila mimi Maisha yako yapo Hatarini, Kuna Magojwa Mengi nimesha yaona kwenye Darubini".
"Niamini nitakupa Fedha ili kuhakikisha Ndugu zako Wote nawachanjwa"-
"Usipo Dungwa hutoweza kusafiri" -"Ndugu zako Watakufa kama Nyumbu!" -"na Mtapotea Wote”
"Mitaa ita jaa Maiti na Mizoga ya watu ita zagaa kama Kumbikumbi na Senene "
Siku weza jibu lolote -
Nili Ogopa Sana ! Nili Hema kwa Taabu -Pumzi ziliniishia-Kifua kilibana sana-Jasho Lilinitoka
Nika anza kukimbia hata nisijue Nakimbilia Wapi -
Nilikimbia umbali mrefu Sana lakini Hakuna alie nikimbiza! Nika amua Kusimama-Nilipogeuka nikaangalia Nyuma Nilipotokea-
Niliona Mzee Mmoja Nyuma yangu -Amevaa Miwani ya Rangi ya Kijani - Ndevu Nyingi Nyeusi-huku akiwa ame Vaa taji la Dhahabu Niliogopa Sana nikijua amefika kunikamata -Nilipo taka kukimbia tena kwa mara nyingine Nilishindwa.
-"Unakimbia nini!?"-aliuliza kwa upole
"Usiogope Hofu ni Mbaya kuliko hata unacho Hofia " alisema huku akicheka-
Wewe ni Kabila Gani!? Aliniuliza.
Hata hivyo -sikuweza kumjibu sababu hata siku jua kabila Lina umuhimu gani kwenye Mutatizo yangu.
Aliendelea kusema, yeye anafahamu Makabila yote ya Tanzania -
Akasema sio kila anae kuja kuku Jambisha na wewe Unajamba -"Acha Uoga"
-Unakimbia kimbia hovyo hovyo -unajamba- Jamba hovyo- hovyo ! We ni Mwanaume ume wa sina gani!? Acha Upuuzi- Puuzi Tabia za ki-Malaya-Malaya aliendelea kusema.-kuku aki kuna Pua yake.
Umalaya-Malaya Ndio Unao kuponza -Mtu ghafla tu anakuja Kukua Uliza nikuchome wapi Chanjo una Anza -Kujamba -Jasho linakutoka- Ungemwambia Sihitaji Chanjo-alafu uone atafanya nini.-
Tabia zako za kimalaya-Malaya ndio zinazo kufanya uishi kwa wasiwasi-
"Kua na Msimamo kwa kila Jambo na Mtangulize Mungu - kwa kila jambo!"
Baada ya kusikia hayo maneno
nika Shusha pumzi-Bila hofu Nika muuliza "kwani Wewe ni Mwalimu Julius Kambarage Nyerere? "
alicheka akasema "Mimi ndie nilie waambia Hatuchanjwi-
Haya sasa kuna nini Kimetokea na Ugonjwa Umetokomea - Wameanzisha Vita za kikabila za wao kwa wao wanataka Mchague upande Mkapigane - Hata bila Chanjo -Wamesahau waliyo yasema-"
Aka nishika begani huku akisema "Raisi wa Uganda Amenifurahisha Sana "
Aliwaambia Vita yenu ya Makabila Sisi haitu Husu-
aliendelea kusema
Nashukuru Sana hata Nilie Muachia Kazi ana Moyo wa Utu na hataki Malumbano -anapenda Kumsikiliza kila Mtu.
-Hasa alipo sema ni hiari yako kuchanjwa - alionyesha Utu wa khali ya juu-Mi najua kila kitu-Wanafiki wote nawajua.
kweli Huyo ni Mama Yenu wa Taifa -Hapendi kuona Watoto wake wana Hangaika"-
"Lakini ningekuwepo Mimi hiiiiii -Ninge lala nao Mbele kwa mbele"
"Raisi alioko Madalakani Mumuombee-Afanikishe Malengo ya nchi na watu wake- kwasababu Vibaka wa kisiasa bado wapo Wengi-"
"Waafrika Mmebarikiwa sana-lakini bila uzalendo ni kazi Bure"-
"Mara nyingine huwa namuonea Huruma-Lakini namuamini ndio maana nilimchagua-"
"Acheni uoga Vijana tambua Wewe sio Masikini tumia Akili -Dunia ya sasa Inahitaji akili Nguvu Kidogo-
Ukizidisha Nguvu Utaishishia Kujamba -Jamba"-
Aliendelea kusema-
"Sasa kama Wanaume kama Wewe Mnajambishwa Mna Jamba Wote -Je wake zenu Wata fanya nini!?"-"CCM oyee"
(samahani nimekosea yaani hata Malaika wakati Fulani huwa na wa ambia habari za CCM-Alisema huku akicheka-)
"Tafuteni Suluhu ya Matatizo yenu-Wekeni Mipango yenye tija na Panapo Majaliwa kila kitu nitakua kama Ulaya"-
"kumbuka "Rushwa ni tabia za Kimalaya Malaya"-
"Hakuna cha Mjomba wala Shangazi- Tumieni Rasilimali zenu kutakua Matatizo yenu-”
"Mnapoteza Muda kulumbana wakati wanao wagombanisha ndio hao hao watakuja tena kuuliza wawachome sindano sehemu gani"-
Nika muuliza "kwani wewe ndie Magufuli ?"
Amka acha Kujamba Jamba-Mkwe wako amerudi-
Gafla Mama Kibandiko ananiita huku akicheka -
We Baba Kibandiko Hamka !-
Nikashituka toka usingizini-
'Jasho linanitoka kama Bomba la mvua-
Kulikoni Baba Kibandiko-Mbona Kujamba-Mwanaume unatakiwa uwe Ngangali-eh"
Mbona unanitia Aibu -Ume lala hapa unajua tena sio mbali na Majirani pia ni karibu na njiani lakini Una jambaa Mtaa Mzima-
Kweli?
Niliuziza -
Nika mwambia Mama Kibandiko Bora Umerudi- Dah Afadhali nime amka maana hii NDOTO nilio kua naiota ilikua inaelekea kubaya Sana --Yaani mime kutana na Magufuli Anaongea kama Nyerere -
Mwisho ikawaje!? Mwisho ndio hivyo ume kuja kuni amsha we Mwanamke -
Na Kujamba !?-
Labda Maharagwe-Yamezidi -Nyama bei Ghali -kipato kidogo -Tozo -Nilimjibu kwa upole - huku nikiemdelea ku-Tathimini "ILE NDOTO"

Attachments
Upvote
0