Ile ngome imara ya clouds media kwisha habari yake

Adam Mchomvu kwenye interview ya Babubate alisikika akisema 'mmetuchapa'[emoji1][emoji1]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Sijajua aliekuwa anawaamuru kuwabania wasanii ni nani pale Clouds. Ni nani mwenye mamlaka makubwa namna ile? Je ni BDozen ama Mchomvu? Ni Barbara? Maana Ruge alikana mara kadhaa kuhusika na kufungia nyimbo za wasanii
 
Ruge alikufa kiboya sana sijui matajiri wa kibongo wanafeli wapi kwenye kujilinda dhidi ya maadui zao nakumbuka MO alivyotekwa kama kuku
 
Kila jambo na wakati wake, waliwanyanyasa sana wasanii hao jamaa, saizi hadi production ya vipindi vyao hovyo tu.
 
Huwa najiuliza kama Mtangazaji wa klauzi akiulizwa "unaufahamu wimbo wa Waah?' atasema "sijawahi kuusikia".hii itakuwa ni zaidi ya uchawi.
Wale jamaa ni noma

Pale wenye guts za kuwa na mawazo huru labda ni Masudi, Gadna, Musa na Gea...wengine wote ni mtumikie Kafiri upate mradi wako.
 
Wasafi na clouds wanajuana vizuri kuliko unavyohisi, Wasafi walivunja ngome zote kucgukua watangazaji kasoro clouds fm, watangazaji wakifukuzwa clouds hawawezi kwenda wasafi hata kama wana impact kubwa. Mke wa Joh ndio mmiliki mwenza wa diamond kwenye wasafi media. Bifu kati ya clouds na wasafi lilitengenezwa kwenye wasafi festival na fiesta na liliisha baada ya matamasha kuisha kila media ikafanya kazi yake bila msuguano. Kwa kifupi hawa watu wanajua wanachokifanya.
 
Duniani kuna misukule na money makers.

Humu JF kuna mvutano wa wachagga na wakinga usioisha, ila Fred Vunja Bei ndio supporter mkubwa wa kina Whozu, Frank Knows n.k kupitia Too much money.

Kusaga, Diamond, Mke wa Kusaga wanajuana.

Dunia hii kama huijui utaishia kuwa daraja la watu fulani.

Yaani mtu hulali unabishania mtu mpaka unagaragara, sometimes u aenda kwenye show zake unalipa kii gilio na kumtuza halafu unarudi nyumbani kula mihogo 🤣🤣🤣🤣
 
Hujui unachokiandika mkuu, huyo mke wa kusaga hana habari na hayo ma biz yeye yuko busy kulea watoto, ile ni janja ya joh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…