Ile Picha Bora Zaidi Ulimwenguni Kutoka Oscars Na Twitter Yapata Msisimko...

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Imekuwa picha ya kwanza kuvunja rekodi ya kusambazwa zaidi ulimwenguni mzima.

Na sahizi kumewekwa picha nyingine mfanano lakini yenye ucheshi ndani yake.

Siku kadhaa baada ya Ellen Degenes kuweka picha yenye mastaa kadhaa kwa mtandao wa Twitter, watu nao wameamua kuibadilisha picha hio iliyosambaswa sana.

Picha ya kwanza iliyosambazwa na Jared Leto, imemuonyesha kibonzo Homer Simpson akijaribu kujiingiza kwa nguvu ndani ya picha hio lakini Bradley Cooper aliweza kumpiga teke na kumuondoa.
Picha ya pili inawaonyesha wote katia hio picha wamejeuzwa na kutengenezwa na LEGOs, picha inayofanya kutabasamu na mambo ya mtandao.






Halafu picha yenyewe iliyoongelewa sana ndio hiyo hapo chini...


stori imetolewa: bkuHABARIBlog
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…