kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Kama ushawahi usikia huu wimbo Wa zali la mentali Wa prof Jay utakuwa na ww unatamani kujua ni nani yupo nyuma ya ile sauti ya kike katika ule wimbo. Ukiangalia video yake utamuona mwanadada Nargis Mohammed ndo ananata na yale maneno au ndo yeye alihusika kuingiza ile sauti ya kike. Mwenye kujua zaidi anijuze maana mpk leo natakaga kujua ile ni sauti ya nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app