Unakumbuka siku ulipoulizwa; Ewe. . . .,unakubali kumpokea . . . . .,awe mumeo/mkeo,katika shida na raha,magonjwa na afya na utamhesimu siku zote za uhai wako mpaka kifo kiwatenganishe?Kisha ukajibu ndiyo!!!!Unaikumbuka kauli hii?Je ina nguvu kwako leo kama siku ile?Je unapokumbuka unajisikiaje?
Deskmate! sjui kwanini kule inakataa kujibu aisee au umenibloki? lolSwali nzuri sana. Ngoja tuwasikilize...
Unakumbuka siku ulipoulizwa; Ewe. . . .,unakubali kumpokea . . . . .,awe mumeo/mkeo,katika shida na raha,magonjwa na afya na utamhesimu siku zote za uhai wako mpaka kifo kiwatenganishe?Kisha ukajibu ndiyo!!!!Unaikumbuka kauli hii?Je ina nguvu kwako leo kama siku ile?Je unapokumbuka unajisikiaje?
Deskmate!!! Za siku?Deskmate! sjui kwanini kule inakataa kujibu aisee au umenibloki? lol
Acha nisichakachue sredi, uhondo wako nakuwekea sehemu spesho.
Nilirekodi kwenye MP3 pia halaf niliitoa kwa mapozi kuliko Tom kruzi, hivi skukwambia wewe vile? deskmate bana!VIpi wewe, unakumbuka siku ulio sema 'yes'?
Hayo huwaga ni maneno tu na huwa hayana nguvu kihivyo...
Lizzy yuko wapi???
Naogopa hili pembe lisiwe limemdhuru
Nilirekodi kwenye MP3 pia halaf niliitoa kwa mapozi kuliko Tom kruzi, hivi skukwambia wewe vile? deskmate bana!
ndoa zenyewe za kuigiza
heheh fellow tablet tunashirikiana kwenye masuala ya siasa tu lakini habari za kumuonesha titanic wangu yaani haipo kabisa kwenye silabas.direcyor wa hiyo movie alikuwa nani?
Kama ni fellow tablet mmeumizana.