Binti Maria
Senior Member
- Jun 26, 2007
- 158
- 33
Jamani ile thread ya watu wakubwa ilipelekwa wapi? Kila nikiitafuta siioni, sasa wengine tulishazoea kupitapita huko kuweka mambo sawa, sasa inakuwaje tena mmeitoa? Irudisheni tafadhali kabla hatujaandamana

πBM na ww ni mtu mzima???π
Nilidhani wewe ni binti yake Maria Roza vile? Si umuulize akupe direct line? Binti hufunzwa na mamaye vizuri zaidi kuliko na babaye ati.Jamani ile thread ya watu wakubwa ilipelekwa wapi? Kila nikiitafuta siioni, sasa wengine tulishazoea kupitapita huko kuweka mambo sawa, sasa inakuwaje tena mmeitoa? Irudisheni tafadhali kabla hatujaandamana