Ile video inayosambaa ni ya team yangu kweli

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
5,630
Reaction score
2,169
Nimeona video ya kutisha nimeshindwa kuifyonza na kuiweka apa ni viongozi wa team yangu ikimwaga vitu vyumbani huku ikiwa na viongozi wangu Tele. Badae wakaingia wachezaji niliwaona ni team yangu . Je ile ni video ya team yangu kweli au ya kutengeneza kuichafua team.
 

Unataka kusema nini??
 
Unaogopa nini sasa ? Kile chumba hakishi mtu na muda mwingi kimefungwa hewa huwa nzito na wakati mwingine pia harufu , viongozi kuona hivyo wakawa wanatia cream iliyoperfumed ili kuwe na harufu nzuri kama vile Rinju ,au yoyote itayokaa muda mrefu ,. Wapo wnaodhani ni sumu sasa jiulize watamwaga sumu na wao wakae humohumo wota akina Haji na maafisa wa CAF au TFF usiogope hiyo ndiyo story ya ulichokiona [emoji3071][emoji881][emoji881][emoji881]
 


NI timu yako, si unajuwa ile timu katika mashindano ya kimataifa haina kitu na ndiyo maana wanaroga sana. Zesco kachomoa dakika y mwisho huku wazee wenu wakiwa bado wanaroga, tetesi inasema kwamba walisahau kubugia ugoro kama afanyavyo yule Mze wenu asiye na tija klabuni kwenu.
 
Ni yenyewe
 
Si ile video ya harmorapa anaenda kuliwa kiboga?Hio ndo yenyewe ila waliikatisha tu.
 
Mkuu unahasira sana sasa pale mwanawasa kitakachowapata mtabaki kulizana na kusimuliana
 
Mambumbumbu wamekaa chini ya mwamasishaji ndio mmekuja na majibu haya kwakweli team yangu imechoka sana
 
Hiyo sumu ina macho na inachagua watu wa kuwadhuru??
 

Mkuu...ni njaa au.
 
Ndio ni ya timu yako angalia hapa chini.
 

Attachments

  • VID-20190917-WA0005.mp4
    3.3 MB
It's very much appreciated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…