Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 24
Tumefaidi vyandarua mkuu
Ndugu wachambuzi wa mambo ya SIASA na KIJAMII,
Hivi ile ziara ya Rais George W. Bush hapa TZ iliyo jaa mbwembwe na matarajio makubwa makubwa imeshazaa chochote cha kuelezeka?
Wachambuzi leteni habari.
Au ziara hiyo ilikuwa na Agenda ambayo haikutwa?
Kanye West anakuja kupanda mlima Kilimanjaro kama alivyofanya Abromavich hahaaa
Hivi ule mkutano wa Sullivan tulishanufaika???