Pre GE2025 Ilemela Mwanza: Vikundi 60 vinatarajia kunufaika na mkopo wa Shilingi bilioni 1.13

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Vikundi 60 vya wanawake vijana na wenye ulemavu katika Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza vinatarajia kunufaika na mkopo wa Shilingi bilioni 1.13.

Akizungumza kwenye hafla ya utoaji mikopo ya asilimia 10 ya Shilingi bilioni 1.13 kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela, Ummy Wayayu amesema tangu zoezi hilo lizinduliwe, jumla ya vikundi 216 viliomba kukopeshwa zaidi ya Sh. bilioni 9.

Soma pia: Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze

Katibu Tawala wa Manispaa hiyo, Mariam Msangi akimwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo amesema lengo la Serikali ni kuona fedha hizo zinawakwamua wananchi kiuchumi huku akiwataka kuacha tabia ya kuchukua mikopo umiza.

Naye Diwani wa Kata ya Nyakato, Jonathani Mkumba amewataka wanufaika wa mikopo hiyo kuwa na uaminifu na uadilifu hoja ambayo pia inaungwa mkono na Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, Renatus Bahebe Mulunga.

Nao baadhi ya wanufaika wa mikopo hiyo mbali na kuipongeza serikali pia wameahidi kurejesha mikopo hiyo kwa wakati ili kunufaisha kundi kubwa zaidi la watu.

View attachment 3255868
Utapeli hahaha
 
Vikundi 60 vyenye wanachama hai wa chama Cha mapinduzi😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom