Hii nimejionea mwenyewe siku nyingi sana kote nilikopita utakuna na sehemu za starehe nzur kuliko za iremela ila ziko sehem tofaut tofaut
Lakin kwa ilemela yote iko poa na sehem za starehe ni nyingi sana na watu wanatumia pesa kama wametumwa yaan kama hawana akili vizur, huku hakuna hali mbaya
Tuna tumia pesa ndan ya jimbo la mama yetu mama Angelina mabula
Hivi watu wanaoishi kwenye mikoa wanayokula starehe wakiambiwa wapite mbele na wa Mwanza wilaya ya Ilemela watapita mbele kweli?[emoji849][emoji849][emoji849][emoji41]