SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Katika maboresho ya SGR na kuongeza wigo wa huduma, ningeshauri iongezwe treni itakayokuwa inabeba magari madogo. Niliwahi kuona treni ya namna hiyo ikifanya kazi Ulaya.
Imagine unasafiri kwenda mkoa fulani mfano kutoka Dar hadi Dodoma na unajua utakuwa huko kwa siku kadhaa na unajua katika pilipapilika zako huko utahitaji kutumia usafiri wako binafsi. Unaweka gari yako katika treni ya magari, siku hiyo hiyo unayofika gari yako nayo inafika.
Hii itapunguza pia stress katika matumizi ya barabara yasiyo ya lazima na kuzifanya zidumu zaidi.