Hilo pia itaigiza wizara ya uchukuzi waone limekaaje. Maana kutoka Dar Mwanza kwa kuendesha inaweza ikakughalimu si chini ya laki 8 kitu ambacho ingekua unasafirisha gari na wewe mwenyewe kwenye treni ghalama ingeweza kua pungufu.Katika maboresho ya SGR na kuongeza wigo wa huduma, ningeshauri iongezwe treni itakayokuwa inabeba magari madogo. Niliwahi kuona treni ya namna hiyo ikifanya kazi Ulaya...
Mh! Failure inatengenezwa hapo maana yatasafiri bure eventually tozo zitalipia. Anyway, it will be cheaper than driving the cars but TRC itabebeshwa hilo zigo!Kubeba na magari ya viongozi pia ili kuondoa misafara ya Dar-Moro-Dodoma
Hii ni fursa nzuri kwa TRC hata kama haitakua kila siku ila ikiwepo treni ya walau kwa wiki mara mbili itapendeza sana.Katika maboresho ya SGR na kuongeza wigo wa huduma, ningeshauri iongezwe treni itakayokuwa inabeba magari madogo. Niliwahi kuona treni ya namna hiyo ikifanya kazi Ulaya.
Imagine unasafiri kwenda mkoa fulani mfano kutoka Dar hadi Dodoma na unajua utakuwa huko kwa siku kadhaa na unajua katika pilipapilika zako huko utahitaji kutumia usafiri wako binafsi. Unaweka gari yako katika treni ya magari, siku hiyo hiyo unayofika gari yako nayo inafika.
Hii itapunguza pia stress katika matumizi ya barabara yasiyo ya lazima na kuzifanya zidumu zaidi.
Actually sio independent train but mabehewa ya kubebea magari. Ila behewa litabeba gari ngapi?Hii ni fursa nzuri kwa TRC hata kama haitakua kila siku ila ikiwepo treni ya walau kwa wiki mara mbili itapendeza sana.
Hiyo kwa ulaya niliwahi kuiona pia kutoka UK kwenda Ufaransa.
Good idea ipunguze foleniKatika maboresho ya SGR na kuongeza wigo wa huduma, ningeshauri iongezwe treni itakayokuwa inabeba magari madogo. Niliwahi kuona treni ya namna hiyo ikifanya kazi Ulaya.
Imagine unasafiri kwenda mkoa fulani mfano kutoka Dar hadi Dodoma na unajua utakuwa huko kwa siku kadhaa na unajua katika pilipapilika zako huko utahitaji kutumia usafiri wako binafsi. Unaweka gari yako katika treni ya magari, siku hiyo hiyo unayofika gari yako nayo inafika.
Hii itapunguza pia stress katika matumizi ya barabara yasiyo ya lazima na kuzifanya zidumu zaidi.
Katika maboresho ya SGR na kuongeza wigo wa huduma, ningeshauri iongezwe treni itakayokuwa inabeba magari madogo. Niliwahi kuona treni ya namna hiyo ikifanya kazi Ulaya.
Imagine unasafiri kwenda mkoa fulani mfano kutoka Dar hadi Dodoma na unajua utakuwa huko kwa siku kadhaa na unajua katika pilipapilika zako huko utahitaji kutumia usafiri wako binafsi. Unaweka gari yako katika treni ya magari, siku hiyo hiyo unayofika gari yako nayo inafika.
Hii itapunguza pia stress katika matumizi ya barabara yasiyo ya lazima na kuzifanya zidumu zaidi.
Bora yasafiri bure tu hayo mav8 kuliko kutuweka foleni za masaa mawili na hiyo misafara au kuendesha kwa vurugu barabarani.Mh! Failure inatengenezwa hapo maana yatasafiri bure eventually tozo zitalipia. Anyway, it will be cheaper than driving the cars but TRC itabebeshwa hilo zigo!