kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Unajua Al Hilal siyo kwamba walikuwa bora zaidi ya Yanga hapana, Yanga walikuwa bora zaidi ya Al Hilal ila walichoshida Al Hilal kwa Yanga ni nini?
Ni mbinu za kocha wao tu bila hivyo Al Hilal wangelilala nyumbani kwao pale pale. Yaani watu walikuwa wamejaa nyuma mpaka unakosa sehemu ya kupitisha mpira, walikuwa watu 8 nyuma, mbele 2 tu, halafu wazee walibana kinoma.
Na hiyo ndiyo njia pekee ya kumzuia Yanga tu. Ila ukija na mpira wako, sijui mimi ni bora ni cheze mpira wa kushambulia, halafu nyuma unaacha wachezaji wa 4 au 3, ndugu yangu umekufa na Club Africa wakija kwa mpira huo tutazika mtu 5 hapa.