nelly nely
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 665
- 229
Unayo laana...tena haitaisha hadi mtakapopata akili....Kwahiyo umeona mkoa wetu una laana! Ushindwe na ulegee.
Unayo laana...tena haitaisha hadi mtakapopata akili....
Lol mmekwishaaa
Kijani.....laana ina rangi gani?
mnachagua watu wanavaa mapete pete mnatarajia nini?
Kijani.....
Hiyo ni kwa Tz sehemu nyingine sijui
una colour blindness.
Tatizo lenu wadodoma wabishi...komaeni na kijani yenu muone maisha ktk giza totoro....
Huko ntakuja tu ila itabidi nkalale Mbandee au kibaigwa km sio Ihumwa au Mtumba....aliyekwambia tunapata shida nani? Huku full kujiachia, mabomba ya maziwa kila nyumba. Karibu dodoma, karibu mpwapwa.
Huko ntakuja tu ila itabidi nkalale Mbandee au kibaigwa km sio Ihumwa au Mtumba....
1;Gereza la kunyongea watu[Isanga] lifungwe mara moja.
2;Makao makuu ya chama na serikali yahamishiwe Dar-es Salaam[maana maruhani yatakuwa na gheto kabisa pale]
3;Jengo la bunge libomolewe,likajengwe bagamoyo
4;Hospitali ya vichaa ihamishiwe chalinze!
5;.....................
Haji mtu huko...aaah! Tumehairisha, hatutaki wageni tena mtatumalizia hewa na upepo.
Haji mtu huko...
Eti mnathubutu kusema "Ninavyoipenda SISIEMU hata ukinichanja damu yangu itatoka ya kijani...."
Ngoja mkipate cha mtema kuni...
mmmh! Ngoja nikuitie kaka ritz.
Muite kwanza nilikuwa namtafuta simuoni...
Hivi Husny unajua hii kitu ninatokuambia ni ukweli?