hii kitu ya laana au?
mbona hamsemi na ukame, maj chumv vihamishiwe wap
aliyekwambia tunapata shida nani? Huku full kujiachia, mabomba ya maziwa kila nyumba. Karibu dodoma, karibu mpwapwa.
Udom ihamishiwe kigoma....
Husninyo karibu kongwa.
Aiseee,kumbee!
Maji ya chumvi yanawaongezea mabinti wa Dom utamu...
Aiseee,kumbee!
mmh!haya makubwa...
utamu wa?
mpwapwa/kongwa......mmh!
ahsante sana nely.
Aiseee,kumbee!
dah!hata hunkaribishi kwenu?