Ili Gazeti lisifungiwe

Hofstede

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2007
Posts
3,577
Reaction score
1,109
Mwananchi wanaweza jitetea wasifungiwe kwa kuandika kama ilivyo hapa chini!

 
ahaaaaaaaaaaaaa

shule ya msingi Tandahimba kila mmoja na computer yake ahaaaaaaaaaaaaa
 
Shule ya msingi mpimbwe kwa mzee nyooooka kila mwanafunzi na kompyuta yake?!
 
I like kazi ya kipanya kwa kweli inashabihiana sana na gazeti la mwananchi ndIo maana wakampa shavu. Katuni ya kipanya watu wengi hawaisomi hata kama wamenunua gazeti lakini huwa ina maana kubwa sana na pia inavunja mbavu, Big up KP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…