Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hapoFeisal aliwezaje kuvunja mkataba kwa kulipa 112M? Na ameshindwa nini kulipia M56 CAS?
Ndo habari mnazotaka mwaka huuNa mimi nashangaa kwa mkombora ule alioupiga pale Mwanza na kuinufaisha timu yake ya Uto, ikawaje tena Engineer akaanza kumtuhumu dogo anauza mechi?
Umesahau za akina Ibrahim Benzaza wa USM Algiers. Yaani kama nyie tu mlivvotupigia kelele na Bolizozo wa Stella Abdijan.Ndo habari mnazotaka mwaka huu
Za Chief Abiola cupUmesahau za akina Ibrahim Benzaza wa USM Algiers. Yaani kama nyie tu mlivvotupigia kelele na Bolizozo wa Stella Abdijan.
Mkombora wa Kibudu uliwapa kombe gani vile... [emoji23][emoji23][emoji16]Mkombora ulizimwa na kibudee kibudengaa kwenye Derby...
Sasa hivi na nyie mmesahau matusi ya Manara mnamuona mkombozi wenu yanii
Yaani wewèkiazi kwelikweli, kwahiyo akili zako zinakwambia kuwa uongozi wa simba unahangaika na feiHakuna jambo la faraja mioyoni mwao kwa sasa zaidi ya issues za Feisal. Hapo wanasahau hata ule 'mkombora' aliowatungua kule Mwanza. Jaman si muanze hata usajili? Msimu ujao unakaribiaaaa
Hiyo level haiwahusuNo! acha tumalizane kwanza na za USM Alger
Kuhusu derby bora unyamaze tuMkombora ulizimwa na kibudee kibudengaa kwenye Derby...
Sasa hivi na nyie mmesahau matusi ya Manara mnamuona mkombozi wenu yanii
Na mie nashangaa hapo tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mimi nashangaa kwa mkombora ule alioupiga pale Mwanza na kuinufaisha timu yake ya Uto, ikawaje tena Engineer akaanza kumtuhumu dogo anauza mechi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hili ndio swali la msingiFeisal aliwezaje kuvunja mkataba kwa kulipa 112M? Na ameshindwa nini kulipia M56 CAS?