Ili habari isomwe zaidi na wana Simba, inapaswa kumhusu Feisal

Na mimi nashangaa kwa mkombora ule alioupiga pale Mwanza na kuinufaisha timu yake ya Uto, ikawaje tena Engineer akaanza kumtuhumu dogo anauza mechi?
 
Mkombora ulizimwa na kibudee kibudengaa kwenye Derby...
Sasa hivi na nyie mmesahau matusi ya Manara mnamuona mkombozi wenu yanii
 
Hakuna jambo la faraja mioyoni mwao kwa sasa zaidi ya issues za Feisal. Hapo wanasahau hata ule 'mkombora' aliowatungua kule Mwanza. Jaman si muanze hata usajili? Msimu ujao unakaribiaaaa
Yaani wewèkiazi kwelikweli, kwahiyo akili zako zinakwambia kuwa uongozi wa simba unahangaika na fei
 
Mkombora ulizimwa na kibudee kibudengaa kwenye Derby...
Sasa hivi na nyie mmesahau matusi ya Manara mnamuona mkombozi wenu yanii
Kuhusu derby bora unyamaze tu
 
Na mimi nashangaa kwa mkombora ule alioupiga pale Mwanza na kuinufaisha timu yake ya Uto, ikawaje tena Engineer akaanza kumtuhumu dogo anauza mechi?
Na mie nashangaa hapo tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
EWE MWANANCHIIIII HAKIKA LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUDHIHIRISHIA ULIMWENGU KWAMBA YANGA NI KUBWA KIASI GANI NA TUNA UKUBWA KIASI GANI KATIKA SOKA.
NAJUA KUNA WATU HAWATA PENDA HISTORIA TUNAYOENDA KUIANDIKA LEO HII.

NIKUOMBE TU KAMA HUNA USTAHMILIVU NA TIMU YA YANGA USIANGALIE MECHI YA LEO.
MECHI HII NI KWA AJILI YA WABOBEZI WA SOKA.
πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…