Ili kuanzisha app Tanzania unahitaji vibali kutoka TCRA?

Ili kuanzisha app Tanzania unahitaji vibali kutoka TCRA?

train rain

New Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
2
Reaction score
0
Msaada tutani ni vibali vipi vinahitajika endapo mtu anataka ku launch app Tanzania? Utahitaji vibali vyovyote kutoka mamlaka nchini?

Kwa ambao wamefanikiwa kupandisha app zao playstore/app store naomba ni pm tafadhali?
 
yule mwamba Fernandes somebody, mzee wa kukusanya Angel investors for startups anajua.
 
Msaada tutani ni vibali vipi vinahitajika endapo mtu anataka ku launch app tanzania? Utahitaji vibali vyovyote kutoka mamlaka nchini? Kwa ambao wamefanikiwa kupandisha app zao playstore/app store naomba ni pm tafadhali
Kama ni kampuni yeah ila kama ni kapp tu hakuna haja ya vibali vyovyote.
 
Kama app imefanikiwa ghafla. Unatakiwa uisajili kama kampuni ili uanze kulipia tax tra? Also tcra hawahusiki sindio?
 
Back
Top Bottom