Francis Charles jilala
New Member
- Jul 30, 2022
- 2
- 0
Ili KUBADILIKA wafuatao ndiyo wanaopaswa KUBADILIKA kwanza
JE, NI NANI AANZE KUBADILIKA?
Kabla ya kuitaka jamii yetu ibadilike ni kheri tufahamu kuwa wanajamii ndiyo wanaopaswa KUBADILIKA kwanza ndipo jamiii tabadilika, lakini swali langu je, nani abadilike kama mambo yafuatayo wanajamii ndio washiriki?
RUSHWA; utumiaji warasilimali za ummandi yo ugonjwa mkubwa wa taifa katika kuelekea maendeleo, lakini (waliokabidhiwa nyazifa mbalimbali) na pia sisi wanajamiini washiriki katika matukio haya. Utakuta mwananchi mwenye shida auuhitaji wa huduma anakuwa mstari wa mbele kumtaka mtoa huduma waongee Kwa mlango wa nyuma (RUSHWA) na lengo kuu ni kutaka kutoa RUSHWA Ili apata huduma Kwa uharaka zaidi
Swali je ninaniaanze KUBADILIKA kati ya mwanajamii na Wapokea RUSHWA!? ,Mjadala hapani Kwa NAMNA au njian Gani ya kuweza kuwawekea mbegu ya uzalendo hawa watu (mtoa na mpokea RUSHWA)
AJALI; Kwakuangalia takwimu za umoja wamataifa, AJALI hususani zile zitokeazo barabarani zinashika nafasi ya tatu katika uuaji wa watu kutoka kwenye UKIMWI NA MARALIA. Sasa tukiangalia sababu kuu tunaona ni uzembe wa madreva lakini mara nyingi sabababisho za AJALI huletwa na abiria lakini je, KWANINI Sasa tusione umuhimu wa kutaja uzembe wa abiria. Haya yanaaambatana na ukweli kwamba abiria wanatakiwa kusema ukweli juu ya mwendo wa dreva mara askali anaposimamisha busna kuuliza, lakini Cha kushangaza abiria Huwa wanaona kama wanacheleweshwa na hivo kutoa jibu ambalo linasadikika kutokuleda mjadala mrefu juu Ya ona askari.
Lakini pia, ukiangalia namna baadhi ya magari hujazawa tu mpaka kuzidi uwezo wa gari husika lakini abiria huendelea kubanana mule Kwakudhania kuwa gari lililojaza ndilo litaondoka mApema ,haya yote hufanywa na abiria Kwa uhiari lakini AJALI zinapotokea Huwa tunaanza kulaumu dereva na wasaidizi wake .Mjadala hapa je ninaniaanze KUBADILIKA Ili ambadilishe na mwenzake na badae kuibadilisha jamii Kwa umoja?
UGUMU WA MAISHA; ndiyo sababu mojawapo inayowasukuma baadhi ya watu kutoka kwenye Imanisahi ina badala yake kuingia kwenye Imani potofu hususani zenye kuwezak uahatarisha Maisha ya wanadamu wengne, wanadamu wameona umuhimu Sasa kujihusisha katika ushirikina. Mjadala hapa upo kati ya mwanajamii na Maisha aliyonayo na waganga wa kupiga ramri (ndagu) naniaanze KUBADILIKA Ili aweze kumbadilisha mwenzake na badae kuibadilisha jamii Kwa ushirikiano?
Kwasababu ya mambo haya Sasa jamii na wanajamiii na uhitaji wa kuangalia Kwa mapana sababu za baadhi ya mambo kujitokeza na yenye kuleta matokeo hasi katika kuyafikia maendeleo ya mtu mmoja mmoja na mpaka ya taifa Zima Kwa ujumla. Wanajamii tunatakiwa kujiangalia sisi wenyewe kwanz ana nafasi zetu Ili tusisababishe RUSHWA, ushirikina na hata AJALI. Na hapo Sasa ndipo tutajaribu kushughulika na waliopewa nyazifa na huzitumia ndivyo sivyo!

Upvote
0