Ili kuchukua ubingwa Simba anatakiwa ashinde goli 13-0.

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Mpaka sasa naweza sema Yanga ni bingwa wa Tanzania 99% iyo moja tunasubiria game ya Mwisho Simba vs Mwadui,sio masihara iyo game Simba atatakiwa ampe mtu kipigo cha mbwa mwizi magoli si chini ya 13.

Kwenye mpira kuna mengi lolote laweza tokea mtu akala 13 bila majibu na kuingia kwenye kumbukumbu tamu za mwaka huu anza na ile Psg vs barca ila naye akaja kula kichapo kutoka kwa Juve.

Hapo hapo akiombea Yanga apigwe na Mbao fc ila kwa hizi Chainsaw za Yanga sidhani kama kuna msitu utasalia.

Tusubiri kama tutapata ajabu lingine la dunia.
 
Hata goli saba pia ila na Mbao wawafunge Yanga goli sita
 
mkuu, Simba bado wana point 3 ziko FIFA. who knows?

Yanga hawana namna...ni lazima washinde mechi iliyobaki ili wakwepe hiko kimeo cha FIFA!
 
mkuu, Simba bado wana point 3 ziko FIFA. who knows?

Yanga hawana namna...ni lazima washinde mechi iliyobaki ili wakwepe hiko kimeo cha FIFA!
Simba wanajua kuwa hawakulipia rufaa yao na hivyo masmuzi ya TFF kuzirejesha point 3 kwa Kagera sukari ulikuwa sahihi na wanajuavwxkienda FIFA wataangukia pua......hawaendi ng'oooooo........
 
Sipendi hili la points za mezani lakini hili la kutofuata kanuni pale mchezaji mwenye kadi nyekundu au tatu za njano kuruhusiwa kucheza limeleta doa kubwa sana kwenye soka letu.

Leo tunaishangilia Serengeti kucheza U17 Gabon ni kwa sababu kama hizi hizi za kuvunja kanuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…