Kuna swali linaulizwa na wengi, hii Serikali ni ya Awamu ya ngapi? Kwa Utamaduni hatarishi ya CCM watakwambia ni Awamu ya 5 iliyoanza na Dk. Magufuli (the late).
Ukweli ninaoujua ni kwamba hii ni Serikali awamu ya 6. By the way hatuna neno "awamu" ndani ya Katiba ya JMT. Ni mazoea tu CCM kuendelea kusalia madarakani.
Kusema hii ni Awamu ya 5 ni kumdharau Rais SSH. Atakosa nguvu ya Kirais maana ni kama "anamshikia" Rais Magufuli. Lakini pia SSH 2025 akigombea Urais anaweza kudai miaka 4 iliyopita isihesabike maana ndio anaanza awamu yake ya 6 na hivyo isihesabiwe. Kwa mantiki kwamba 2025-2030 then 2030-2035 ndipo atakuwa amemaliza mihula miwili! Imewahi kutokea Burundi, Rwanda na DRC.
#FreedomIsBack