Ili kuepuka taarifa kuchelewa kumfikia mlengwa

Ili kuepuka taarifa kuchelewa kumfikia mlengwa

Wakuperuzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2023
Posts
2,348
Reaction score
5,841
Kama una ujumbe, taarifa au salam niachie Wakuperuzi hapa, zitafika kwa muhusika na kwa wakati.

Kurahisisha mambo, maana najua mambo ni mengi wakuu, hamuwezi kushinda humu muda wote ila binafsi napatikana humu masaa yote.

So kila anayeingia na kutoka huwa naona, sababu nakuwa online.
 
Km una ujumbe,taarifa au Salam niachie Wkuoeruzi hpa zitafika kw muhusika na kw wakat kurahisisha mambo, Maana najua mabo ni mengi wakuu hamuwezi kushinda humu muda wote ila binafsi naptikana humu masaa yote so kila anayeingia na kutoka huwa naona sababu nakuwa online
 
Attachments

  • Screenshot_20230411-094050.jpg
    Screenshot_20230411-094050.jpg
    41.2 KB · Views: 5
Km una ujumbe,taarifa au Salam niachie Wkuoeruzi hpa zitafika kw muhusika na kw wakat kurahisisha mambo, Maana najua mabo ni mengi wakuu hamuwezi kushinda humu muda wote ila binafsi naptikana humu masaa yote so kila anayeingia na kutoka huwa naona sababu nakuwa online
Mwambie muanzilishi wa wa huu mtandao kuwa wasaidizi wake ni madikteta wanapiga watu ban kwa chuki na wanafuta nyuzi zetu hasa zile ambazo wanateseka mioyo wakizisoma.
 
Mwambie muanzilishi wa wa huu mtandao kuwa wasaidizi wake ni madikteta wanapiga watu ban kwa chuki na wanafuta nyuzi zetu hasa zile ambazo wanateseka mioyo wakizisoma.
Ebwnaee kuhusu raia kula ban nafkiri mnatakiwa kuwa makini na unacho comment kabla ya kupost (tafakar) cdhani km mkuu wa kaya ya humu anaweza kumlambisha mtu ban kwa chuki
 
Back
Top Bottom