Ili kuepuka usumbufu wa kufuatilia passport yangu iliyopotea mwaka jana, siwezi kuomba mpya?

Ili kuepuka usumbufu wa kufuatilia passport yangu iliyopotea mwaka jana, siwezi kuomba mpya?

Joined
Jul 18, 2019
Posts
76
Reaction score
304
Habari,

Mimi nilikuwa na Passport ya zamani ya kusafiria lakini kwa bahati mbaya Ikapotea mwaka jana, ilikuwa sio ya kielectroniki.

Je kuna madhara yeyote nikijaza kuomba ya electronic upya kama mtu ambaye ni mara yake kwanza kuomba Passport ya kusafiria? Nisieleze kama nimewahi kuwa na Passport?

Kitambulisho cha NIDA ninacho tayari.
 
Swali lako linafanana na lifuatalo: Jee kuna madhara kuwa mwongo?
Kuna mazuri na mabaya

Ni mazuri kama anayedanganya atafanikiwa na ni mabaya kama anayedanganya hatafanikiwa and Vice versa is true
 
Cha kufanya toa taarifa police, upate report, halafu toa taarifa kwenye gazeti kwa upotevu wa passport yako , then chukua hio page ya tangazo za passport yako na report utaambatanisha utakapo omba passport mpya, ila unaweza kufika office ya uhamiaji kwa maelezo zaidi
 
Back
Top Bottom