Jakamoyo msoga
Member
- Jul 18, 2019
- 76
- 304
Hazifanani Yaan majina Ya pass ya kwanza na yaliyo kwenye kitambulisho cha NIDA ni tofautiUnadhani hawana taarifa zako au ni wasahaulifu kama wewe?
Kuna mazuri na mabayaSwali lako linafanana na lifuatalo: Jee kuna madhara kuwa mwongo?
Sawa unajiona mjanja. Taarifa au namba za kitambulisho chako cha kuzaliwa utabadili au?Hazifanani Yaan majina Ya pass ya kwanza na yaliyo kwenye kitambulisho cha Nida ni tofauti
Nimetafta Kingine piaSawa unajiona mjanja. Taarifa au namba za kitambulisho chako cha kuzalia utabadili au?
Mbona siyo Rahisi kuzaliwa UpyaHauna namna yeyote ya kukwepa labda uzaliwe upya.
Sasa kama siyo rahisi tambua pia siyo rahisi kupata paspoti kwa njia hiyo.Mbona siyo Rahisi kuzaliwa Upya
Licha ya hivyo, atabadili finger prints? Sababu wanazo na wakichukuwa hizo finger prints watakutana na taarifa zake za nyuma.Sawa unajiona mjanja. Taarifa au namba za kitambulisho chako cha kuzaliwa utabadili au?
DahTaarifa zako wanazo, fuata tu utaratibu. Kuna gharama utaingia ikiwemo muda, nguvu na pesa maana ni lazima ukatangaze kwenye gazeti
Labda aweke fingerprints za kobe.Licha ya hivyo, atabadili finger prints? Sababu wanazo na wakichukuwa hizo finger prints watakutana na taarifa zake za nyuma.
Hayuko exposed tu na technology otherwise asingehangaika hata kuuliza watu, dunia ya sasa ya technology unamdanganya nani kijinga hivyo?Labda aweke fingerprints za kobe.