Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Mkuu hilo suala sio la Kisheria. Ni la kikatiba. Kubadili sheria ni rahisi ila Katiba sio rahisi kama unavyodhani. Ni mchakato mrefu wenye maoni mengi.Wabunge 19 Waliofukuzwa na Chama Chao CHADEMA kwa Mujibu Wa Katiba Walistahili Kuondolewa Bungeni kutokana na kupoteza sifa kwani ili Uwe Mbunge ni Pamoja na Kuwa Mwanachama Wa Chama cha Siasa.
Kwa kuwa Spika pamoja na Serikali inawatambua kuwa ni wabunge halali licha ya kufukuzwa na chama chao nashauri Serikali ipeleke marekebisho ya sheria ya Kuwa Hata Usipokuwa Mwanachama Wa Chama cha siasa unaweza kuwa Mbunge, Kwa Marekebisho hayo Halima na Wenzake Watakuwa Wabunge Halali kama Spika anavyotaka.
Kwani kwa sasa WAPO BUNGENI kwa KIGEZO Gani wakati KATIBA hairuhusu kuwa na Wabunge wasio na Chama?Sasa watakuwa wameingia Bungeni kwa Vigezo vipi?
Kwa kigezo cha kuwa ni wabunge wa CHADEMA.Kwani kwa sasa WAPO BUNGENI kwa KIGEZO Gani wakati KATIBA hairuhusu kuwa na Wabunge wasio na Chama?
Kama ni la KIKATIBA basi Warekebishe Vifungu ndani ya Katiba Uwezo huo Wanao Kama Walivyoweza Kuwaapisha na kuwalipa Mishahara huku Wakijua ni Wabunge Waliofukuzwa na hawa Chama wakati Sifa ya Mbunge lazima Awe Mwanachama wa Chama cha SiasaMkuu hilo suala sio la Kisheria. Ni la kikatiba. Kubadili sheria ni rahisi ila Katiba sio rahisi kama unavyodhani. Ni mchakato mrefu wenye maoni mengi.
Tumia Akili usilete Utoto au ndio huyuKwa kigezo cha kuwa ni wabunge wa CHADEMA.
Wewe ndio umetumia akili hapo.Tumia Akili usilete Utoto au ndio huyuView attachment 1845540
Dawa imekukolea mkuu ndio ulivyoWewe ndio umetumia akili hapo.
Mimi nimezungumza uhalisia ulioko bungeni.
Nitolee akili zako za kibavicha. Mxieeew
Sasa mkuu unadhani Mh. Spija atajaribu kuruhusu hiyo hoja?Kama ni la KIKATIBA basi Warekebishe Vifungu ndani ya Katiba Uwezo huo Wanao Kama Walivyoweza Kuwaapisha na kuwalipa Mishahara huku Wakijua ni Wabunge Waliofukuzwa na hawa Chama wakati Sifa ya Mbunge lazima Awe Mwanachama wa Chama cha Siasa
Ndiyo; ila hawathubutu kwa kuwa hicho kitakuwa kisu cha kuwachinja wao.Wabunge 19 waliofukuzwa na chama chao CHADEMA kwa mujibu wa Katiba walistahili kuondolewa Bungeni kutokana na kupoteza sifa kwani ili uwe Mbunge ni pamoja na kuwa mwanachama wa chama cha siasa.
Kwa kuwa Spika pamoja na Serikali inawatambua kuwa ni wabunge halali licha ya kufukuzwa na chama chao nashauri Serikali ipeleke marekebisho ya sheria ya huwa hata Usipokuwa Mwanachama wa chama cha siasa unaweza kuwa Mbunge, kwa Marekebisho hayo Halima na wenzake watakuwa Wabunge halali kama Spika anavyotaka.