Ili kuhudhuria Art Exhibitions kwenye nchi zingine unapaswa kufanya nini?

Ili kuhudhuria Art Exhibitions kwenye nchi zingine unapaswa kufanya nini?

MR MONEY08

Member
Joined
Oct 21, 2022
Posts
62
Reaction score
30
Habarini wanajamvi,

Ninapenda kujua, Ili kuwa miongoni mwa artists wanaoudhuria maonyesho ya arts mataifa mbali mbali Ili ukidhi vigezo unafuata hatua gani?
 
Habarini wanajamvi,

Ninapenda kujua, Ili kuwa miongoni mwa artists wanaoudhuria maonyesho ya arts mataifa mbali mbali Ili ukidhi vigezo unafuata hatua gani?
Omba ushiriki kwenye website ya host, requirements watakuwa wameziweka hapo.

By the way ni nchi gani unataka kushiriki?
 
Mfano nchi gani. EA rahisi. Nje lazima uwatumie kwanza iyo art yako. Uoneshe kama ni owner.
 
Habarini wanajamvi,

Ninapenda kujua, Ili kuwa miongoni mwa artists wanaoudhuria maonyesho ya arts mataifa mbali mbali Ili ukidhi vigezo unafuata hatua gani?
Hii ni field yangu kabisa mkuu.

Hakikisha kwanza una vitu hivi vifuatavyo
  1. CV
  2. Artstic Biography
  3. Your Artistic Catalogue kila image weka tittle, medium used, made year, Orientational if hanging
  4. Art statement
Unaweza kuwa na vitatu kati ya vinne hapo juu lakini CV na Art Statement ni muhimu

Ingia online tafuta gallaries of your proapective destiny. Angalia vigezo vyao kisha chukua address ya email yao, waandikie dhumuni la kutaka kushiriki events na displays zao na ambatanisha attached docs zako kisha subiri jibu.

Nikipata link chache ntaweka hapauweze kujaribu pia

Msanii
 
Back
Top Bottom