Ili kukabiliana na upungufu wa mask (barakoa) wizara ya afya itoe muongozo wa mask za namna hii kama ikionekana zinaweza kufaa

Ili maji maji yako ya chafya yasi sambaye mbali kama umesha adhirika na kusababisha mambukizi kwa wingine!
Ni kweli, nilikuwa namaanisha mkono na mask kipi rahisi kuzuia hayo maambukizi kwa njia ya mate.
 
Wewe ni mnafiki tu so yangu ndio uliiona Ina shida, yeye alivyoniita mjinga mbona hukumquote wakati mi kule juu nilifanya joke tu, mbwa nyie

Huna hadhi ya usuluhishi
Kimbelembele tu
Hahahahhaha
 
Haya bwana nilikuwa kama msuluhishi, ila najua utaniuliza kama walivyomuuliza Musa "Nani kakuweka kuwa msimamizi wetu?"
Mask ya nguo inaweza zuwia usiambukize kwa wepesi! Ila kirusi kwenye nguo wanasema kanaishi masaa 12!!
Kwenye ngozi ya mwili ni dakika chache!!
Kwenye plastic Adi siku 9!!!
Kwenye karatasi siku 4 Adi 5!!
Kwenye hewa vinaishi 45dk
Glass na chuma siku 5!!!
Changa moto ni kubwa mkuu tuna penye kwenye tundu la sindano!!
 
Ni kweli kabisa hakuna njia ya kuzuia pasee ila njia zote ni kwaajili ya kupunguza hayo maabukizi
 
Naona kama material ya kitenge ni mazuri kuwa nyuzi zake zimeshikana vizuri ila nahisi changamoto ni katika upumuaji sijajaribu ila nitajaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…