Wadau tafadhari msaada nina mkuu wangu wa shule ana kihelehele sana pamoja na serikali kutotambua mchango mkubwa wa walimu bado mkuu anakufatilia kisa anataka umaarufu kupitia kwako siku moja tu haujafika kazn na ulimpigia simu kwa vile hujasaini popote anaamua kuandika barua ya utoro anapeleka hadi kwa mkurugenz. Wakati yeye anafukuza wanafunz halafu majina yao anauza kwa watu wengine waliomaliza shule na kufeli wanakuja kuyatumia pesa zote anakula mwenyewe mfano kuna darasa x lina mamluki 5 hadi sasa pia kwenye akaunt ya shule yeye hujichukulia pesa bila hata vikao vya staff wala bodi .je tufanyeje ili kumkomoa maana inaonekana yuko karibu na afsa elimu.