Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
Kupunguza msongamano mjini nashauri serikali iuze petrol lita moja tsh 5,000. Na pia serikali izingatie sana uingizaji wa magari nchini. Magari ya maana ni kuanzia CC 3000 PLUS angalau ya kuaanzia mwaka 2015.
Iwe gari zinazoingizwa nchini zisiwe zimepita miaka 5 toka kutengenezwa na zisome milage isiyozidi kms 10,000. Hii itasaidia watu kupata magari na usafiri angalau standard.
Huwa nakwazika sana napokuwa town napishana na hivi vidude vimeandikwa IST,Vitz,wish,Rumion,Subaru n.k
Wanaoendesha wengi akili zao zinafanana musa wote wana haraka na wanachomekea sometimes wanataka kugusa hadi magari yetu. Si lazima kila mtu aje na usafiri wake Town kusababisha foleni tu isiyo na sababu. Ili kupendezesha jiji town ziwe zinaruhusiwa Mercedes Benz,Range Rover, BMW,ESCALADE,FORD,GMC,VW and the like.
Sisi huwa tunaelewana ndo maana hata magari yetu kuna taa zinawaka mchana kuwamulikia wasio na pesa nao waone wafanikiwe. Huwa nawaza sana kuja Dar then nawaza foleni halafu ukiangalia kwenye foleni magari mawili au matatu. Vingine ni usafiri tu vimejaa.